Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt Magufuli Azindua Karakana Kuu ya JWTZ Lugalo Jijini Dar Es Salaam Leo
Mar 13, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_51590" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo na Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess wakifunua pazia kuashiria uzinduzi wa karakarana kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam leo Ijumaa Machi 13, 2020[/caption] [caption id="attachment_51591" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo na Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess baada ya kuzindua karakarana kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam leo Ijumaa Machi 13, 2020[/caption] [caption id="attachment_51592" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo na Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama kuashiria uzinduzi wa karakarana kuu ya Jeshi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam leo Ijumaa Machi 13, 2020[/caption] [caption id="attachment_51593" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess akikagua sehemu za ufundi wa magari baada ya kuzindua karakarana kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam leo Ijumaa Machi 13, 2020[/caption] [caption id="attachment_51594" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo na Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess na viongozi wa vyombo vya ulinzi akitoka kukagua karakarana kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
Lugalo jijini Dar es salaam baada ya kuizindua leo Ijumaa Machi 13, 2020[/caption] [caption id="attachment_51595" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuliakiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo na akimpongeza kwa hotuba nzuri Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess[/caption] [caption id="attachment_51596" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali akiwaomba waelimishe umma kuhusu kujikinga na maambukizi ya viurusi vya Corona baada ya kukabidhiwa karakara kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam baada ya kukabidhiwa leo Ijumaa
Machi 13, 2020[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi