Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Magufuli Atoa Rambirambi Msiba wa Shehe Saad Zubeir Ally Kinondoni Jijini Dar es Salaam
Sep 19, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_14397" align="aligncenter" width="750"] Msaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali Mkeremy akikabidhi rambirambi(kwa niaba ya Mhe. Rais) kwa Mufti wa Tanzania Shekhe Aboubakar Zubeir ambaye amefiwa na Kaka yake Shekhe Saad Zubeiry Ally ambaye amefariki katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_14404" align="aligncenter" width="750"] Msaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali Mkeremy akizungumza jambo na Mufti wa Tanzania Shekhe Aboubakar Zubeir ambaye amefiwa na Kaka yake Shekhe Saad Zubeiry nyumbani kwa Marehemu Kinondoni Mtaa wa Ufipa jijini Dar es Salaam. Wakwanza kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu.[/caption] [caption id="attachment_14407" align="aligncenter" width="750"] Msaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali Mkeremy akiagana na Shekhe wa mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum mara baada ya kuwasilisha Rambirambi kwa niaba ya Mhe. Rais katika msiba huo uliopo Kinondoni mtaa wa Ufipa jijini Dar es Salaam.(Picha na: Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi