Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt Magufuli Atembelea Meli ya Hospitali ya China
Nov 26, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_23443" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikagua gwaride la wanamaji wa Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_23448" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembezwa sehemu mbalimbali na Kiongozi Mkuu wa Meli ya Hospitali ya China Kamanda Guan Bailin alipoitembele aleo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja nayo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.[/caption] [caption id="attachment_23450" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akioneshwa video inayoonesha shughuli za Meli ya Hospitali ya China alipoitembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja nayo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.[/caption] [caption id="attachment_23451" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembezwa sehemu mbalimbali na Kiongozi Mkuu wa Meli ya Hospitali ya China Kamanda Guan Bailin alipoitembele aleo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja nayo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.[/caption] [caption id="attachment_23452" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wachina waishio nchini wakiwa Bandarini wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.[/caption] [caption id="attachment_23453" align="aligncenter" width="750"] Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitelemka kutoka katika Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 wakati Rais Dkt. Magufuli alipoitembelea kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja nayo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_23454" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wachina waishio nchini wakiwa Bandarini wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_23455" align="aligncenter" width="750"] Kiongozi Mkuu wa Meli ya Hospitali ya China Kamanda Guan Bailin akiongea wakati Rais Dkt. John Pombe Magufuli alipowatembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja na meli hiyo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_23456" align="aligncenter" width="750"] Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Kiongozi Mkuu wa Meli ya Hospitali ya China Kamanda Guan Bailin alipowatembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja na meli hiyo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_23457" align="aligncenter" width="750"] Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipeana mikono na Kiongozi Mkuu wa Meli ya Hospitali ya China Kamanda Guan Bailin wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipowatembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja na meli hiyo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_23458" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wafanyakazi wa Bandarini wakifuatilia kinachoendelea wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_23459" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeho akiongea wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_23460" align="aligncenter" width="750"] Balozi wa China nchini Mhe Wang Ke akiongea wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_23462" align="aligncenter" width="750"] Wanamaji wa Jeshi la Wananchi la Tanzania wakiwa katika hafla ya ujio wa Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_23463" align="aligncenter" width="750"] Maafisa na Wanamaji wa Jeshi la Wananchi la China wakiwa katika hafla ya ujio wa Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es Salaam.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi