Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt Magufuli Atembelea Chuo cha Ualimu cha Mkwawa
May 03, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_31119" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akifunua pazia kuashiria uiwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2, 2018[/caption] [caption id="attachment_31120" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Mhe. Asia Juma Abdallah alipowasili kuweka jiwe la la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2, 2018[/caption] [caption id="attachment_31121" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Mbunge wa Kilolo Mhe. Venance Mwamoto na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo katika sherehe za uwekaji wa jiwe la la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2, 2018[/caption] [caption id="attachment_31122" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Ipogolo alipokuwa anatoka katika sherehe za uwekaji wa jiwe la la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2, 2018[/caption] [caption id="attachment_31123" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi kutoa kwa Rais wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa mkoani Iringa alipotembelea leo Mei 2, 2018. Kulia ni Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo, Profesa Bonaventure Rutinwa[/caption] [caption id="attachment_31124" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua ujenzi wa ukumbi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa mkoani Iringa alipotembelea leo Mei 2, 2018 Picha na IKULU[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi