Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Magufuli Atangaza Siku Nne za Maombolezo Kuanzia Kufuatia Ajali ya Kivuko cha MV Nyerere
Sep 22, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_35553" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kuhusiana na ajali ya kuzama kwa Kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kikifanya safari zake kati ya kisiwa cha Bugolora na Ukara katika ziwa Victoria Wilayani Ukerewe mkoani Mwanza ambapo watu 131 wanahofiwa kupoteza maisha. Pia Rais Dkt. Magufuli ametangaza siku nne za Maombolezo kuanzia leo tarehe 21 Septemba 2018. PICHA NA IKULU[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi