Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Magufuli Ashiriki Ibada na Kutoa Heshima za Mwisho Kwa Marehemu Mercy Anna Mengi
Nov 08, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_37924" align="aligncenter" width="750"] Watoto wa marehemu Regina na Abdiel Mengi wakiingia kanisani katika ibada ya kuaga mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018. Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli walishiriki[/caption] [caption id="attachment_37925" align="aligncenter" width="750"] Jeneza lenye mwili wa marehemu likiingizwa kanisani katika ibada ya kuaga mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018. Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli walishiriki[/caption] [caption id="attachment_37926" align="aligncenter" width="750"] Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018.[/caption] [caption id="attachment_37927" align="aligncenter" width="750"] Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwapa pole wafiwa baada ya kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018.(Picha na IKULU).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi