Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt Magufuli Apokea Hati Za Utambulisho Toka Kwa Mabalozi Sita Ikulu Jijini Dar Es Salaam Leo
Jan 16, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_27174" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Nigeria nchini Mhe.Sahabu Isah Gada Ikulu jijini Dar es salaam leo[/caption] [caption id="attachment_27175" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Nigeria nchini Mhe. Mhe.Sahabu Isah Gada Ikulu jijini Dar es salaam leo[/caption] [caption id="attachment_27176" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Suzan Kolimba kwa balozi mpya wa Poland Mhe. Krysztof Buzalski Ikulu jijini Dar es salaam leo[/caption] [caption id="attachment_27177" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Poland nchini Mhe. Krysztof Buzalski Ikulu jijini Dar es salaam leo[/caption] [caption id="attachment_27178" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Nigeria nchini Mhe. Ikulu jijini Dar es salaam leo[/caption] [caption id="attachment_27179" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea saluti toka kwa mwambata wa kijeshi wa Ubalozi wa Uturuki nchini Navy Commander Murat Ozen baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Urturuki nchini Mhe. Ali Davutoglu (wa pili kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi[/caption] [caption id="attachment_27180" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na balozi mpya wa Urturuki nchini Mhe. Ali Davutoglu akiwa na Mwambata wa Kijeshi Navy Commander Murat Ozen na Katibu wa pili ubalozini Nihat Kumhur baada ya kupokea hati ya yake ya utambulisho. Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 16, 2018[/caption] [caption id="attachment_27181" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Ufaransa mchini Mhe. Frederic Clavier Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 16, 2018[/caption] [caption id="attachment_27182" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Ufaransa nchini nchini Mhe. Frederick Clavier Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 16, 2018[/caption] [caption id="attachment_27184" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Australia nchini Mhe. Alison Chartres Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 16, 2018[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi