Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt Magufuli Apata Chakula cha Mchana na Vijana Waliokimbiza Mwenge Mwaka Huu Ikulu Zanzibar
Oct 15, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_19786" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwakaribisha vijana sita waliokimbiza Mwenge wa Uhuru kupata naye chakula cha mchana Ikulu Zanzibar leo Oktoba 15, 2017. Pamoja nao ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenister Mhagama[/caption] [caption id="attachment_19789" align="aligncenter" width="750"] Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwakaribisha vijana sita waliokimbiza Mwenge wa Uhuru kupata naye chakula cha mchana Ikulu Zanzibar leo Oktoba 15, 2017. Pamoja nao ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenister Mhagama[/caption] [caption id="attachment_19792" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakipakua chakula na mmoja wa vijana sita waliokimbiza Mwenge wa Uhuru aliowaalika kupata naye chakula cha mchana Ikulu Zanzibar leo Oktoba 15, 2017. Pamoja nao ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenister Mhagama[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi