Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt Magufuli Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Rafiki Yake Hospitali ya Lugalo
May 15, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_43084" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa marehemu Festo Rutamigwa Isokoza alipoongoza waombolezaji kuaaga mwili huo katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo alifanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile JKT Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha, alikuwa rafiki mkubwa wa Rais Dkt Magufuli ambaye walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita na baadaye elimu ya Secondari katika Seminari ya Katoke, Biharamulo mkoani Kagera.[/caption] [caption id="attachment_43082" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea machache baada ya kuongoza waombolezaji kuaaga mwili marehemu Festo Rutamigwa Isokoza katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya JKT ya Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha, alikuwa rafiki mkubwa wa Rais Dkt Magufuli ambaye walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita na baadaye elimu ya Secondari katika Seminari ya Katoke mjini Biharamulo mkoani Kagera.[/caption] [caption id="attachment_43085" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwasindikiza mjane Mama Anna Isokoza na familia ya marehemu Festo Rutamigwa Isokoza baada ya kuongoza waombolezaji kuaaga mwili marehemu katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya JKT ya Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha, alikuwa rafiki mkubwa wa Rais Dkt Magufuli ambaye walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita na baadaye elimu ya Secondari katika Seminari ya Katoke mjini Biharamulo mkoani Kagera.[/caption] [caption id="attachment_43083" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli akiagana na familia ya marehemu Festo Rutamigwa Isokoza baada ya kuongoza waombolezaji kuaaga mwili marehemu katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya JKT ya Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha, alikuwa rafiki mkubwa wa Rais Dkt Magufuli ambaye walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita na baadaye elimu ya Secondari katika Seminari ya Katoke mjini Biharamulo mkoani Kagera.[/caption] [caption id="attachment_43086" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa mkono wa pole kwa mjane Mama Anna Isokoza kuifariji familia ya marehemu Festo Rutamigwa Isokoza alipoongoza waombolezaji kuaaga mwili wa marehemu katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya JKT ya Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha, alikuwa rafiki mkubwa wa Rais Dkt Magufuli ambaye walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita na baadaye elimu ya Secondari katika Seminari ya Katoke, Biharamulo mkoani Kagera.[/caption] [caption id="attachment_43081" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Waziri wa zamani Mhe. Edgar Maokola Majogo aliyekuwa miongoni mwa waombolezaji baada ya kuongoza hafla ya kuaaga mwili marehemu Festo Rutamigwa Isokoza katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya JKT ya Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha, alikuwa rafiki mkubwa wa Rais Dkt Magufuli ambaye walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita na baadaye elimu ya Secondari katika Seminari ya Katoke mjini Biharamulo mkoani Kagera.[/caption] [caption id="attachment_43080" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na waombolezaji baada ya kuongoza hafla ya kuaaga mwili marehemu Festo Rutamigwa Isokoza katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya JKT ya Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha, alikuwa rafiki mkubwa wa Rais Dkt Magufuli ambaye walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita na baadaye elimu ya Secondari katika Seminari ya Katoke mjini Biharamulo mkoani Kagera.[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi