Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt Magufuli Akutana na Vijana wa Kwaya ya Right Angels Moravian Church Ikulu Ndogo ya Tunduma
Oct 07, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_47817" align="aligncenter" width="750"] Wana Kwaya ya Vijana wa Right Angels Moravian Church ya Tunduma wakipata chai katika Ikulu ndogo ya Tunduma walipokaribishwa kuonana na Rais Dkt. John. Pombe Magufuli ambaye aliwaita na kuonana nao baada ya kufurahishwa na wimbo waomzuri wa kulaani rushwa waliomwimbia wakati wa zira yake mkoani humo.[/caption] [caption id="attachment_47818" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Wilaya ya Tunduma Mhe. Juma Irando akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Mhe. David Kafulila wakiwa wameongozana na wanaKwaya ya Vijana wa Right Angels Moravian Church ya Tunduma wakiwasili Ikulu ndogo ya Tunduma kuonana na Rais Dkt John. Pombe Magufuliambaye alikaribisha na kuonana nao baada ya kufurahishwa na wimbo waomzuri wa kulaani rushwa waliomwimbia wakati wa zira yeke mkoani humo.[/caption] [caption id="attachment_47819" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pompe Magufuli na mkewe Mama Janeth Mafuguli katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemus Elias Mwangela, Mkuu wa Wilaya ya Tunduma Mhe. Juma Irando, Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Mhe. David Kafulila na wanaKwaya ya Vijana wa Right Angels Moravian Church ya Tunduma katika Ikulu ndogo ya Tunduma kuonana na Rais Dkt John. Pombe Magufuli ambaye aliwaita na kuonana nao baada yakufurahishwa na wimbo wao mzuri wa kulaani rushwa waliomwimbia wakati wa zira yeke mkoani humo.[/caption] [caption id="attachment_47821" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pompe Magufuli na mkewe Mama Janeth Mafuguli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemus Elias Mwangela, Mkuu wa Wilaya ya Tunduma Mhe. Juma Irando akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Mhe.David Kafulila na wanaKwaya ya Vijana wa Right Angels Moravian Church ya Tunduma walipokuwa Ikulu ndogo ya Tunduma kuonana na Rais Dkt John. Pombe Magufuli ambaye alikaribisha na kuonana nao baada ya kufurahishwa na wimbo wao mzuri wa kulaani rushwa waliomwimbia wakati wa zira yeke mkoani humo.[/caption] [caption id="attachment_47822" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pompe Magufuli na mkewe Mama Janeth Mafuguli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemus Elias Mwangela, Mkuu wa Wilaya ya Tunduma Mhe. Juma Irando, Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Mhe. David Kafulila wakiimba na wanaKwaya ya Vijana wa Right Angels Moravian Church ya Tunduma katika Ikulu ndogo ya Tunduma walipokwenda kuonana na Rais Dkt John. Pombe Magufuli ambaye aliwaita na kuonana nao baada ya kufurahishwa na wimbo wao mzuri wa kulaani rushwa waliomwimbia wakati wa zira yeke mkoani humo. Aliyesimama muelle ni kiongozi wa kwaya hiyo Joana Schinga. PICHA NA IKULU[/caption] [caption id="attachment_47823" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pompe Magufuli na mkewe Mama Janeth Mafuguli katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemus Elias Mwangela, Mkuu wa Wilaya ya Tunduma Mhe. Juma Irando, Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Mhe. David Kafulila na wanaKwaya ya Vijana wa Right Angels Moravian Church ya Tunduma katika Ikulu ndogo ya Tunduma kuonana na Rais Dkt John. Pombe Magufuli ambaye aliwaita na kuonana nao baada yakufurahishwa na wimbo wao mzuri wa kulaani rushwa waliomwimbia wakati wa zira yeke mkoani humo.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi