Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt Magufuli Akutana na Baadhi ya Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Kaimu Mkurugenzi wa TAKUKURU Ikulu Jijini Dar es Salaam
Nov 01, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_48516" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika kikao cha viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta alipokutana nao Ikulu jijini Dar es Salaam leo Novemba 1, 2019[/caption] [caption id="attachment_48517" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika kikao cha viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta alipokutana nao Ikulu jijini Dar es Salaam leo Novemba 1, 2019[/caption] [caption id="attachment_48518" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta baada ya kukutana nao Ikulu jijini Dar es Salaam leo Novemba 1, 2019[/caption] [caption id="attachment_48519" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta baada ya kukutana nao Ikulu jijini Dar es Salaam leo Novemba 1, 2019.(Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi