Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli Awasili Mkoani Songwe
Oct 04, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_47554" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kikundi cha ngoma za asili mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya wakati akielekea mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.[/caption] [caption id="attachment_47555" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kikundi cha ngoma za asili mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya wakati akielekea mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.[/caption] [caption id="attachment_47556" align="aligncenter" width="739"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemas Mwangela mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya kabla ya kuelekea mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.[/caption] [caption id="attachment_47557" align="aligncenter" width="750"] . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya kabla ya kuelekea mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.[/caption] [caption id="attachment_47558" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe David Kafulila mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya kabla ya kuelekea mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.[/caption] [caption id="attachment_47559" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wanahabari wa mkoa wa Mbeya na Songwe mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya kabla ya kuelekea mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.[/caption] [caption id="attachment_47560" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Iyala Mbozi mkoani Songwe wakati akielekea Mbozi mjini.[/caption] [caption id="attachment_47561" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Iyala Mbozi mkoani Songwe wakati akielekea Mbozi mjini.[/caption] [caption id="attachment_47562" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ruanda mkoani Mbozi. (Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi