Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli Apokelewa na Mwenyeji Wake, Rais Hage Geingob wa Namibia
May 27, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_43487" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akipokewa na Mwenyeji wake Rais Hage Geingob wa Namibia alipowasili katika Ikulu ya nchi hiyo, Jijini Windhoek leo Mei 27, 2019. Rais Dkt. Magufuli amewasili nchini Namibia kwa Ziara Rasmi ya Kikazi ya Siku mbili.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi