Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Ashiriki Ibada ya Jumapili Mjini Zanzibar Leo
Oct 15, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_19738" align="aligncenter" width="683"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakitembea kwenye mitaa ya Stone Town mjini Zanzibar wakielekea katika kanisa la Mtakatifu Joesph Parokia ya Minara Miwili kwa ajili ya ibada ya Jumapili leo.[/caption] [caption id="attachment_19741" align="aligncenter" width="750"] : Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakipokewa na Askofu Augustine Shayo walipowasili katika kanisa la Mtakatifu Joesph Parokia ya Minara Miwili kwa ajili ya ibada ya Jumapili leo.[/caption] [caption id="attachment_19744" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika kanisa la Mtakatifu Joesph Parokia ya Minara Miwili kwa wakishiriki ibada ya Jumapili leo.[/caption] [caption id="attachment_19750" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na mtoto Goodluck Cosmas Ndulu wakati yeye na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika kanisa la Mtakatifu Joesph Parokia ya Minara Miwili wakishiriki ibada ya Jumapili leo.[/caption] [caption id="attachment_19753" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika kanisa la Mtakatifu Joesph Parokia ya Minara Miwili kwa wakishiriki ibada ya Jumapili leo.[/caption] [caption id="attachment_19759" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa na Askofu Augustine Shayo katika kanisa la Mtakatifu Joesph Parokia ya Minara Miwili ambako alishiriki ibada ya Jumapili leo.[/caption] [caption id="attachment_19768" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu na Askofu Augustine Shayo na watawa vkatika kanisa la Mtakatifu Joesph Parokia ya Minara Miwili ambako alishiriki ibada ya Jumapili leo.[/caption] [caption id="attachment_19771" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakitembea kwenye mitaa ya Stone Town mjini Zanzibar wakielekea katika kanisa la Mtakatifu Joesph Parokia ya Minara Miwili kwa ajili ya ibada ya Jumapili leo. (Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi