Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Prof.Ole Gabriel Ashiriki Ufunguzi wa Mashindano Tulia Traditional Dances Festival
Sep 21, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_14686" align="aligncenter" width="750"] Naibu Spikà Mhe.Dkt. Tulia Ackson akimkaribisha Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Michezo na Ngoma za Asili yajulikanayo kama Tulia Traditional Dances Festival yanayofanyika mjini Tukuyu Wilayàni Rungwe Leo tar 21 Sept 2017

[/caption] [caption id="attachment_14683" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel akisalimiana na Mhe.Riçhard Ndasa Mbunge wa Sumve wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Michezo na Ngoma za Asili yajulikanayo kama Tulia Traditional Dances Festival yanayofanyika mjini Tukuyu Wilayàni Rungwe Leo tar 21 Sept 2017.
[/caption] [caption id="attachment_14680" align="aligncenter" width="750"] Naibu Spikà Mhe.Dkt. Tulia Ackson akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel wakicheza ngoma pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Michezo na Ngoma za Asili yajulikanayo kama Tulia Traditional Dances Festival yanayofanyika mjini Tukuyu Wilayàni Rungwe Leo tar 21 Sept 2017[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi