Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Prof. Kikula Aongoza Kikao cha Tume ya Madini
Apr 15, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_52161" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula (kushoto) akiongoza kikao cha kazi cha Tume ya Madini kilichofanyika jijini Dodoma tarehe 15 Aprili, 2020. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya.[/caption] [caption id="attachment_52160" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya (kulia) akielezea mafanikio ya utendaji wa majukumu ya Tume ya Madini kwenye kikao hicho. Kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula.[/caption] [caption id="attachment_52156" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mary Makondo, akichangia mada kwenye kikao hicho.[/caption] [caption id="attachment_52157" align="aligncenter" width="750"] Kamishna wa Tume ya Madini, Profesa Abdulkarim Mruma akifafanua jambo kwenye kikao hicho.[/caption] [caption id="attachment_52159" align="aligncenter" width="750"] Kamishna wa Tume ya Madini, Dkt. Athanas Macheyeki akielezea namna Tume ya Madini inavyosimamia utekelezaji wa mipango ya ushirikishwaji wa wazawa kwenye Sekta ya Madini kwenye kikao hicho.[/caption] [caption id="attachment_52158" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Mkurugenzi wa Ukaguzi na Biashara ya Madini wa Tume ya Madini, George Kaseza akielezea mikakati ya Tume kwenye usimamizi wa masoko ya madini na vituo vya ununuzi wa madini nchini.[/caption] [caption id="attachment_52154" align="aligncenter" width="750"] Watendaji kutoka Tume ya Madini wakifuatilia majadiliano mbalimbali yaliyokuwa yanaendelea katika kikao hicho.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi