Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Picha Mbalimbali za Waziri wa Mambo ya Nje Alipokutana na Viongozi Mbalimbali
May 17, 2019
Na Msemaji Mkuu

  [caption id="attachment_43125" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (mb) akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina alipokwenda kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.[/caption] [caption id="attachment_43126" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (mb) akiwa katika mazungumzo na Mhe. Mikel Kafando ambaye ni Rais Mstaafu wa Burkinafaso ambaye pia ni mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi[/caption] [caption id="attachment_43128" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi akiwa katika mazungumzo na Mhe.Ivica Dacic,Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Serbia na baadhi ya wajumbe aliombatana nao.[/caption] [caption id="attachment_43127" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (mb) akipokea hati ya utambulisho ya Mahayub Buyema Mahafud, Balozi mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu Sarahawi.[/caption] [caption id="attachment_43133" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (mb) (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Mikel Kafando ambaye ni Rais Mstaafu wa Burkinafaso ambaye pia ni mjumbe maalum wa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi[/caption] [caption id="attachment_43124" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (mb) akiwa katika picha ya pamoja na Mhe.Ivica Dacic, Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Serbia, wa pili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi