Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Japhet Hasunga Awaonya Wananchi wa Kisarawe Kuvamia Hifadhi
Dec 26, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_25640" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (wa tatu kulia) akiwa na baadhi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), kutoka makao makuu Dar es Salaam akiangalia vitalu vya miche ya miti wakati alipowatembelea wanakijiji wa Maguruwe wanaopakana na msitu wa Hifadhi wa Kazimzumbwi waliojitolea kuotesha miche ya miti kwa ajili ya kupanda kwenye eneo la msitu huo uliokuwa umevamiwa takriban theluthi tatu kwa kipindi cha kuanzia mwaka 1993 hadi 2014.[/caption] [caption id="attachment_25641" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (wa kwanza kulia) akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Meneja wa Misitu wa Wilaya ya Kisarawe, Mathew Mwanuo ( wa kwanza kushoto) wakati alipofanya ziara mwishoni mwa wiki ya kutembelea kilichokuwa Kiwanda cha Caoline, kilichopo katika msitu wa hifadhi Pugu wilayani Kisarawe mkoani Pwani .[/caption] [caption id="attachment_25643" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (katikati) akiwa na baadhi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), kutoka makao makuu jijini Dar es Salaam wakioneshwa ramani ya Msitu wa Hifadhi Kazimzumbwi na Kaimu Meneja wa Misitu wa Wilaya ya Kisarawe, Mathew Mwanuo ( wa tatu kushoto) kuhusiana na“eneo la msitu huo lilivyokuwa limevamiwa takriban theluthi tatu kwa kipindi cha kuanzia mwaka 1993 hadi 2014.[/caption] [caption id="attachment_25644" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa wilaya ya Kisarawe, Viongozi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wakiwemo watumishi wakati Naibu Waziri huyo alipofanya ziara mwishoni mwa wiki ya kutembelea msitu wa Hifadhi wa Kazimzumbwi na Pugu wilayani Kisarawe mkoani Pwani.[/caption] [caption id="attachment_25645" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (katikati) akizungumza na wanakijiji wa Maguruwe wanaopakana na msitu wa Hifadhi wa Kazimzumbwi waliojitolea kuotesha miche ya miti kwa ajili ya kupanda kwenye eneo la msitu huo uliokuwa umevamiwa takriban theluthi tatu kwa kipindi cha kuanzia mwaka 1993 hadi 2014 wakati Naibu Waziri huyo alipofanya ziara mwishoni mwa wiki katika msitu huo.[/caption] [caption id="attachment_25646" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akisaini kitabu cha wageni alipotembelea eneo kilichokuwa Kiwanda cha Caoline, kilichopo katika msitu wa hifadhi Pugu wilayani Kisarawe mkoani Pwani wakati Naibu Waziri huyo alipofanya ziara mwishoni mwa wiki katika msitu wa Hifadhi wa Kazimzumbwi na Pugu.[/caption] [caption id="attachment_25647" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (katikati) akipatiwa maelezo na Mkurugenzi wa Rasilimali za Misitu na Nyuki wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Zawadi Mbwambo ( wa kwanza kushoto) wakati alipofanya ziara jana ya kutembelea kilichokuwa Kiwanda cha Caoline, kilichopo katika msitu wa hifadhi Pugu wilayani Kisarawe mkoani Pwani .[/caption] [caption id="attachment_25648" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (wa kwanza kushoto) akioneshwa eneo la msitu Kazimzumbwi na Kaimu Meneja wa Misitu wa Wilaya ya Kisarawe, Mathew Mwanuo lilivyokuwa limevamiwa takriban theluthi tatu kwa kipindi cha kuanzia mwaka 1993 hadi 2014 wakati Naibu Waziri huyo alipofanya ziara mwishoni mwa wiki katika msitu huo (Picha na Lusungu Helela-MNRT[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi