Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria wa Jamhuri ya Watu wa China Akutana na Jaji Mkuu wa Tanzania
Dec 02, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_23966" align="aligncenter" width="750"] Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma akimkaribisha Naibu Waziri wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Zhao Dacheng pindi alipowasili katika Ofisi ya Jaji Mkuu-Mahakama Kuu Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_23967" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Zhao Dacheng (katikati) akiongea jambo na Mhe. Jaji Mkuu pindi alipomtembelea Desemba 01, 2017.[/caption] [caption id="attachment_23968" align="aligncenter" width="750"] Majadiliano yakiendelea; pichani ni baadhi ya Wajumbe walioambatana na Naibu Waziri huyo, mbali na Wajumbe hao pia kuna Wajumbe kutoka Mahakama ya Tanzania na Wizara ya Katiba na Sheria, wa pili kutoka kushoto ni Mtendaji Mkuu, Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga na wa kwanza kushoto ni Mwakilishi kutoka Wizara ya Katiba na Sheria-Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_23969" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Zhao Dacheng akipitia nakala ya Kitabu cha Mpango Mkakati wa miaka mitano wa Mahakama ya Tanzania (2015/2016-2019/2020) alichozawadiwa na Mhe.Jaji Mkuu wa Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_23970" align="aligncenter" width="750"] Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma akichangia jambo katika majadiliano baina yake na Naibu wa Waziri wa Katiba na Sheria wa China.[/caption] [caption id="attachment_23971" align="aligncenter" width="750"] Mhe. Jaji Mkuu akifurahia zawadi ya picha aliyopatiwa na Mgeni wake.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi