Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar aitembelea Tanzania
Mar 21, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_41358" align="aligncenter" width="640"] Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Mhe. Mohammed Bin Abdulrahman Al-Thani, amewasili nchini na kupokelewa na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe, jana tarehe 20 Machi, 2019. Mhe. Al-Thani atakuwa nchini kwa siku moja ambapo atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, kabla ya kuondoka kuelekea Rwanda

[/caption] [caption id="attachment_41359" align="aligncenter" width="640"] Sehemu ya ugeni huo ukiwasili.[/caption] [caption id="attachment_41360" align="aligncenter" width="640"] Wajumbe wa msafara huo wakisalimiana na viongozi wa serikali waliofika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, kuwapokea akiwemo Balozi wa Tanzania nchini Qatar Mhe. Fatma Mohammed Rajab na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Ayoub Mndeme.[/caption]    

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi