Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Naibu Waziri Mabula Atoa Wito Taasisi za Fedha Kupunguza Riba Mikopo ya Nyumba
Sep 19, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_35466" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angelina Mabula (katikati) akiteta jambo Mkuu wa Huduma za Kibenki na Mauzo wa Benki ya NMB Makao Makuu, Omari Mtiga alipowasili katika hafla ya ufunguzi wa maonyesho ya NMB Nyumba Day yaliyofunguliwa rasmi leo katika viwanja vya NMB Tawi la Kambarage jijini Dodoma. Maonyesho hayo yamelenga kuwakutanisha wateja na watoa huduma za ujenzi na uuzaji wa nyumba ambapo benki ya NMB inatoa huduma ya mikopo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wake kumiliki nyumba.[/caption] [caption id="attachment_35457" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB Kanda ya Kati Dodoma alipowasili katika hafla ya ufunguzi wa maonyesho ya NMB Nyumba Day yaliyofunguliwa rasmi leo katika viwanja vya NMB Tawi la Kambarage jijini Dodoma. Kushoto ni Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati, Nsolo Mlozi. Maonyesho hayo yamelenga kuwakutanisha wateja na watoa huduma za ujenzi na uuzaji wa nyumba ambapo benki ya NMB inatoa huduma ya mikopo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wake kumiliki nyumba.[/caption] [caption id="attachment_35459" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa maonyesho ya NMB Nyumba Day leo katika viwanja vya NMB Tawi la Kambarage jijini Dodoma. Maonyesho hayo yamelenga kuwakutanisha wateja na watoa huduma za ujenzi na uuzaji wa nyumba ambapo benki ya NMB inatoa huduma ya mikopo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wake kumiliki nyumba.[/caption] [caption id="attachment_35460" align="aligncenter" width="949"] Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akipongezwa na Mkuu wa Huduma za Kibenki na Mauzo wa Benki ya NMB Makao Makuu, Bw. Omari Mtiga mara baada ya kumaliza hotuba yake wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya NMB Nyumba Day leo jijini Dodoma. Maonyesho hayo yamelenga kuwakutanisha wateja na watoa huduma za ujenzi na uuzaji wa nyumba ambapo benki ya NMB inatoa huduma ya mikopo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wake kumiliki nyumba. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi wa Nyumba toka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Pius Tesha.[/caption] [caption id="attachment_35461" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Huduma za Kibenki na Mauzo wa Benki ya NMB Makao Makuu, Omari Mtiga akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa maonyesho ya NMB Nyumba Day katika viwanja vya NMB Tawi la Kambarage jijini Dodoma leo. Maonyesho hayo yamelenga kuwakutanisha wateja na watoa huduma za ujenzi na uuzaji wa nyumba ambapo benki ya NMB inatoa huduma ya mikopo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wake kumiliki nyumba. Kushoto ni Naibu Waziri waArdhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angelina Mabula.[/caption] [caption id="attachment_35467" align="aligncenter" width="807"] Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati, Nsolo Mlozi akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa maonyesho ya NMB Nyumba Day yanayoendelea katika viwanja vya NMB Tawi la Kambarage jijini Dodoma leo. Maonyesho hayo yamelenga kuwakutanisha wateja na watoa huduma za ujenzi na uuzaji wa nyumba ambapo benki ya NMB inatoa huduma ya mikopo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wake kumiliki nyumba. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angelina Mabula.[/caption] [caption id="attachment_35462" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angelina Mabula akisikiliza maelezo kutoka kwa mwakilishi wa Kampuni ya Mabati ya ALAF mara baada ya kufungua rasmi maonyesho ya NMB Nyumba Day leo jijini Dodoma. Kushoto ni Meneja wa NMB Kanda ya Kati, Nsolo Mlozi. Maonyesho hayo yamelenga kuwakutanisha wateja na watoa huduma za ujenzi, vifaa na uuzaji wa nyumba ambapo benki ya NMB inatoa huduma ya mikopo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wake kumiliki nyumba.[/caption] [caption id="attachment_35463" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula (kulia) akimsisitizia jambo Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Pioneer Builders inayojishughulishi na utengenezaji wa Matofali yanayotumia udongo, Bi. Diane Metta alipotembelea banda lao mara baada ya kufungua rasmi maonyesho ya NMB Nyumba Day leo jijini Dodoma. Maonyesho hayo yamelenga kuwakutanisha wateja na watoa huduma za ujenzi,vifaa na uuzaji wa nyumba ambapo benki ya NMB inatoa huduma ya mikopo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wake kumiliki nyumba.[/caption] [caption id="attachment_35464" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula (kulia) akisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Mariam Chisumo (kushoto) alipotembelea banda lao mara baada ya kufungua rasmi maonyesho ya NMB Nyumba Day leo jijini Dodoma. Maonyesho hayo yamelenga kuwakutanisha wateja na watoa huduma za ujenzi,vifaa na uuzaji wa nyumba ambapo benki ya NMB inatoa huduma ya mikopo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wake kumiliki nyumba.[/caption] [caption id="attachment_35465" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wananchi wa jiji la Dodoma waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa maonyesho ya NMB Nyumba Day leo jijini Dodoma. Maonyesho hayo yamelenga kuwakutanisha wateja na watoa huduma za ujenzi,vifaa na uuzaji wa nyumba ambapo benki ya NMB inatoa huduma ya mikopo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wake kumiliki nyumba. (Picha na: Frank Shija – MAELEZO, Dodoma)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi