Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Naibu Waziri Ikupa Atembelea Tamasha la Jamafest
Sep 26, 2019
Na Msemaji Mkuu

  [caption id="attachment_47304" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri Stella akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kutembelea mabanda mbalimbali kwenye Tamasha hilo.[/caption]

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Anayeshughulikia Watu Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa, leo ametembelea  Tamasha la JAMAFEST na kuwa moja ya viongozi ambao wamepata Fursa za kuja kutembelea Maonesho haya makubwa ya tamasha la  Utamaduni kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki JAMAFEST

[caption id="attachment_47308" align="aligncenter" width="750"] Mbali na kutembelea mabanda kwenye Tamasha hilo kubwa la Afrika Mashariki linaloendelea Jijini Dar es Salaam Naibu Waziri Stella amekabidhi viti maalumu kwa watu wenye ulemavu.[/caption] [caption id="attachment_47306" align="aligncenter" width="750"] Mbali na kutembelea mabanda kwenye Tamasha hilo kubwa la Afrika Mashariki linaloendelea Jijini Dar es Salaam Naibu Waziri Stella amekabidhi viti maalumu kwa watu wenye ulemavu.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi