Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mwenge wa Uhuru Wazindua Mnara wa Askari Dar.
May 29, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_1997" align="aligncenter" width="750"] Muonekano wa Mnara wa Askari uliopo kati ya barabara ya Azikiwe na Samora mara baada ya kuzinduliwa mapema hii leo na Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017, Amour Hamad Amour.[/caption] [caption id="attachment_1999" align="aligncenter" width="750"] Mwenge wa Uhuru ukiwasili katika bustani ya Mnara wa Askari uliopo kati ya barabara ya Azikiwe na Samora kwa ajili ya ya uzinduzi wa bustani hiyo uliofanywa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017, Amour Hamad Amour[/caption] [caption id="attachment_2002" align="aligncenter" width="750"] Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017,Amour Hamad Amour (katikati) akipata maelekezo toka kwa msimamizi wa bustanai ya mnara wa Askari uliopo kati ya barabara ya Azikiwe na Samora mara baada ya kuizindua bustani hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2005" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wananchi wakishuhudia tendo la uzinduzi wa bustani ya mnara wa Askari uliopo kati ya barabara ya Azikiwe na Samora mapema hii leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2008" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wananchi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa bustani ya mnara wa askari leo Jijini Dar es Salaam.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi