Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mwakyembe:Tuendelee Kumwombea bila kuchoka Mheshimiwa Rais wetu John Pombe Magufuli
Jan 21, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_27569" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe akiwasisitiza watanzania kuendelea kumwombea Mheshimiwa Rais kama jinsi amekuwa akiwaomba mara kwa mara katika mkutano wa maombi ya kuombea Taifa la Tanzania uliyoandaliwa na kanisa la Abundant Blessings Center jana jijini Dar es Salaam,aliyeketi kushoto ni Askofu wa Kanisa hilo Flaston Ndabila.[/caption] [caption id="attachment_27570" align="aligncenter" width="1000"] Askofu David Mwansoka wa Kanisa la Abundant akiongoza maombi ya kuliombea Taifa la Tanzania kwa watu waliyojitokeza kushiriki mkutano huo (hawapo pichani) jana jijini Dar es Salaam wa pili kushoto ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe na wa kwanza kushoto Mkuu wa Wilaya Kibaha Asumpta Mshama wakifuatilia maombi hayo.[/caption] [caption id="attachment_27571" align="aligncenter" width="1000"] Askofu wa Kanisa la Abundant Flaston Ndabila akimweleza Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe (wa pili kushoto) namna kanisa hilo limekuwa na utaratibu wa kuombea Taifa katika mkutano wa kuliombea taifa la Tanzania na viongozi wake uliyofanyika jana jijini Dar es Salaam,wa kwanza kushoto ni Askofu David Mwansoka wa Kanisa hilo.[/caption] [caption id="attachment_27572" align="aligncenter" width="1000"] Waumini wa Kanisa la Abundant wakiwa katika maombi ya kuliombea Taifa la Tanzania yaliyokuwa yakiongozwa na Askofu David Mwansoka hayupo pichani jana jijini Dar es Salaam ambapo Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) alikuwa mgeni rasmi.(Picha na [/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi