Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mpina amtaka Mwekezaji kuondoka mara moja
Dec 08, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_24392" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh.Luhaga Mpina (katikati) akitoa maamuzi ya kuitaka Kampuni ya Game Tracking Safaris (TGTS) kuondoka katika eneo la hekari 20,000 kwenye vitalu tisa vilivyomo kwenye Ranchi ya Uvinza ifikapo Januari Mosi 2018.[/caption] [caption id="attachment_24393" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya Ranchi ya Uvinza la hekari 20,000 ambazo kampuni ya Game Tracking Safaris (TGTS) imetakiwa kuliachia.[/caption] [caption id="attachment_24394" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh.Luhaga Mpina (katikati) akiwasikiliza walinzi wa Kampuni ya Game Tracking Safaris (TGTS) hawapo pichani wakitoa maelezo alipotembelea Ranchi ya Uvinza leo.[/caption] [caption id="attachment_24395" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh.Luhaga Mpina akizungumuza na Meneja wa Kampuni ya Game Tracking Safaris (TGTS) Audax Kalulama katika simu alipotembelea Ranchi ya Uvinza leo na kuamuru mwekezaji huyo kuondoka kabla ya Januari Mosi mwakani kutokana na Mwekezaji huyo kukaa katika eneo hilo kinyume cha Sheria.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi