Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Kazi na Ajira wa SADC Waanza Jijini Dar es Salaam
Mar 02, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_51338" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi, Ajira, Vijana na Wenyeulemavu), Bw. Andrew Masawe(kulia) akiwa na wajumbe wengine wa Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Kazi na Ajira kutoka SADC akiendesha Mkutano huo ulioanza leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Tanzania ikiwa ni mlolongo wa hatua za Mkutano wa Mawaziri na Wadau wa Utatu wa Sekta ya Ajira na Kazi wa SADC utakaofanyika kuanzia Februari 5 hadi 6, 2020.[/caption] [caption id="attachment_51330" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) Bw. Andrew Masawe akifungua Mkutano wa Makatibu wa Wakuu wa Kazi na Ajira wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC) ikiwa ni mlolongo wa hatua za Mkutano wa Mawaziri na Wadau wa Utatu wa Sekta ya Ajira na Kazi wa SADC, utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_51331" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Ajira na Ukuzaji Ujuzi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu), Bw. Ally Msaki akizungumza katika Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Kazi na Ajira wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC) ikiwa ni mlolongo wa hatua za Mkutano wa Mawaziri na Wadau wa Utatu wa Sekta ya Ajira na Kazi wa SADC, utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_51334" align="aligncenter" width="750"] Wawakilishi kutoka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC), wakifuatilia Mkutano wa Makatibu Wakuu kutoka SADC ikiwa ni Mlolongo wa hatua za Mkutano wa Mawaziri na Wadau wa Utatu wa Sekta ya Ajira na Kazi wa SADC, utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_51335" align="aligncenter" width="750"] Mwakilishi kutoka Msumbiji, akiteta jambo na mjumbe wa Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Kazi na Ajira wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC) ikiwa ni mlolongo wa hatua za Mkutano wa Mawaziri na Wadau wa Utatu wa Sekta ya Ajira na Kazi wa SADC, utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_51337" align="aligncenter" width="750"] Mwakilishi kutoka Eswatini akichangia hoja katika Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Kazi na Ajira wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) ikiwa ni mlolongo wa hatua za Mkutano wa Mawaziri na Wadau wa Utatu wa Sekta ya Ajira na Kazi wa SADC, utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Tanzania[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi