Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mkutano Wa Kimataifa wa Utafiti Wa Kisayansi Wafunguliwa leo.
Dec 07, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_24279" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akisalimiana na Baadhi ya Watumishi wa Taasisi ya Utafiti ya Wanyamapori (TAWIRI) wakati alipowasili kwa ajili ya kufungua mkutano wa kumi na moja uliowakutanisha wanasayansi wa utafiti wa wanyamapori wapatao 300 kutoka ndani na nje ya nchi kwa lengo la kubadilishana ujuzi katika mkutano huo unaofanyika kwa muda wa siku tatu kuanzia leo katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC jijini Arusha[/caption] [caption id="attachment_24280" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa kumi na moja uliowakutanisha wanasayansi wa utafiti wa wanyamapori wapatao 300 kutoka ndani na nje ya nchi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti ya Wanyamapori (TAWIRI) kwa ajili ya kubadilisha ujuzi wa tafiti unaofanyika kwa muda wa siku tatu kuanzia leo unaofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano AICC wa jijini Arusha.[/caption] [caption id="attachment_24281" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akikabidhiwa cheti na Mwenyekiti wa Bodi ya TAWIRI, Prof. Apolinaria Pereka cha kutambua mchango uliofanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii katika kufanikisha mkutano wa kumi na moja wa uliowakutanisha wanasayansi wa utafiti wa wanyamapori wapatao 300 kutoka ndani na nje ya nchi kwa lengo la kubadilishana ujuzi unaofanyika kwa muda wa siku tatu kuanzia leo katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano AICC wa jijini Arusha.[/caption] [caption id="attachment_24282" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akizungumza katika mkutano wa kumi na moja uliowakutanisha wanasayansi wa utafiti wa wanyamapori wapatao 300 kutoka ndani na nje ya nchi kwa lengo la kubadilishana ujuzi ulioandaliwa na TAWIRI unaofanyika kwa muda wa siku tatu kuanzia leo katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC wa jijini Arusha.[/caption] [caption id="attachment_24283" align="aligncenter" width="800"] Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI), Dkt. Simon Mduma akizungumza katika mkutano wa kumi na moja uliowakutanisha wanasayansi wa utafiti wa wanyamapori wapatao 300 kutoka ndani na nje ya nchi kwa lengo la kubadilishana ujuzi unaofanyika kwa muda wa siku tatu kuanzia leo katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC wa jijini Arusha.[/caption] [caption id="attachment_24284" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wakurugenzi wa Taasisi za Wizara ya Maliasili na Utalii mara baada ya kufungua mkutano wa kumi na moja uliowakutanisha wanasayansi wa utafiti wa wanyamapori wapatao 300 kutoka ndani na nje ya nchi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti ya Wanyamapori (TAWIRI) kwa ajili ya kubadilisha ujuzi wa tafiti unaofanyika kwa muda wa siku tatu kuanzia leo unaofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano AICC wa jijini Arusha (Picha na Lusungu Helela-MNRT[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi