Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa amekutana na kufanya mazungumzo na Dkt. Keabetswe Modimoeng, Afisa Mkuu wa Uhusiano na Masuala ya Udhibiti wa Makampuni ya Multchoice kuhusiana na mashirikiano katika Sekta ya Utangazaji
Katika kikao hicho, Dkt. Keabetswe aliambatana na Mkurugenzi Mtendaji Multchoice Tanzania, Jacqueline Woiso, Mkuu wa Uhusiano Maltchoice Tanzania, Johnson Mshana na Mkuu wa Masuala ya Udhibiti-Multchoice Tanzania Astrid Mapunda.