Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mh Rais Dkt Magufuli Ashiriki Ibada Chato na Kuendesha Harambee ya Ujenzi wa Kanisa
Jul 16, 2017
Na Msemaji Mkuu

  [caption id="attachment_6739" align="aligncenter" width="750"] Raiswa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli pamoja na mke wake Mama Janeth Magufuli wakitoa sadaka wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita. Leo 16 Julai 2017[/caption] [caption id="attachment_6742" align="aligncenter" width="750"] Raiswa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakisikiliza mahubiri toka kwa Padri Henry Mulinganisa wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita. Leo 16 julai 2017[/caption]

[caption id="attachment_6749" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli aliyeshika kikapu cha sadaka akipokea sadaka toka kwa Mke wake Bi Janeth Magufuli wakati wa kuchangia ujenzi na upanuzi wa katika kanisa la Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita. Leo 16 Julai 2017[/caption] [caption id="attachment_6754" align="aligncenter" width="750"] Raiswa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli aliyeshika kikapu cha sadaka akipokea sadaka toka kwa waumini mbalimbali waliohudhuria ibada katika kanisa la Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita Leo 16 julai 2017[/caption] [caption id="attachment_6755" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa ameshika kikapu chenye michango ya fedha zilizotolewa na waumini wa kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita kwa ajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa hilo[/caption] [caption id="attachment_6756" align="aligncenter" width="750"] Raiswa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru mmoja wa waumini wa kanisa hilo ndugu Mwita Chacha mara baada ya kuchangia mifuko mitano ya saruji kwa ajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita .[/caption]

Mama Janeth Magufuli mke wa Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiahidi mchango wake wa ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita . [caption id="attachment_6760" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru mmoja wa waumini wakanisa hilo ndugu Deogratius Ambrosim wenyeulemavu wa mkono, akitoa mchango wake wakiasi cha shilingi elfu tano kwa ajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita[/caption] [caption id="attachment_6761" align="aligncenter" width="750"] Raiswa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwashukuru waumini walioshiriki kuchangia ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita, ambapo zilikusanywa kiasi cha zaidi ya shilingi milioni kumi na tatu pamoja na ahadi mbalimbali vikiwemo vifaa vya ujenzi.[/caption] [caption id="attachment_6766" align="aligncenter" width="750"] Raiswa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakisikiliza mahubiri toka kwa Padri Henry Mulinganisa wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita. Leo 16 julai 2017[/caption] [caption id="attachment_6769" align="aligncenter" width="750"] Raiswa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakisikiliza mahubiri toka kwa Padri Henry Mulinganisa wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita. Leo 16 julai 2017[/caption] [caption id="attachment_6770" align="aligncenter" width="750"] Raiswa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakisikiliza mahubiri toka kwa Padri Henry Mulinganisa wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita. Leo 16 julai 2017. (Picha zote na: Ikulu)[/caption]

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi