Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Ujumbe Kutoka MCT Wakutana na Katibu Mkuu Wizara ya Habari Leo
Sep 05, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_34814" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Suzan Mlawi akizungumza wakati wa kikao baina yake na wajumbe wa Muungano wa Watetezi wa Haki ya kupata Taarifa (CORI) na Baraza la Habari Tanazania (MCT), walipofika wizarani hapo kwa ajili ya kuwasilisha mapendekezo ya maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 leo jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Nicholaus William na mjumbe wa bodi ya Baraza la Habari Tanazania (MCT), Wallace Maugo.[/caption] [caption id="attachment_34816" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akizungumza wakati wa kikao baina ya Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Suzan Mlawi (wapili kushoto) na wajumbe wa Muungano wa Watetezi wa Haki ya kupata Taarifa (CORI) pamoja na Baraza la Habari Tanazania (MCT), walipofika wizarani hapo kwa ajili ya kuwasilisha mapendekezo ya maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 leo jijini Dodoma. Kutoka kulia ni Kiongozi wa MCT, James Marenga, na mjumbe wa bodi ya Baraza la Habari Tanazania (MCT), Wallace Maugo na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Nicholaus William.[/caption] [caption id="attachment_34817" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi.Suzan Mlawi (katikati) akipokea nyaraka yenye mapendekezo ya maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania (MCT), Wallace Maugo (kulia) wakati wa kikao baina yake na wajumbe wa Muungano wa Watetezi wa Haki ya kupata Taarifa (CORI) na MCT walipofika wizarani hapo kwa ajili ya kuwasilisha mapendekezo hayo leo jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi, Rodney Thadeus, Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Nicholaus William (katikati).[/caption] [caption id="attachment_34818" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi.Suzan Mlawi (katikati) akimsikiliza kwa makini kiongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), James Marenga (kulia) wakati wa kikao baina yake na wajumbe wa Muungano wa Watetezi wa Haki ya kupata Taarifa (CORI) na Baraza la Habari Tanazania (MCT), walipofika wizarani hapo kwa ajili ya kuwasilisha mapendekezo ya maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 leo jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari –MAELEZO, Bibi. Zamaradi Kawawa, Mkurugenzi Msaidizi, Rodney Thadeus, Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Nicholaus William na mjumbe wa bodi ya Baraza la Habari Tanazania (MCT), Wallace Maugo.[/caption] [caption id="attachment_34819" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari – MAELEZO, Rodney Thadeus akichangia mada wakati wa kikao baina ya Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi.Suzan Mlawi(wanne kushoto) wakati wa kikao baina yake na wajumbe wa Jumuiya ya Watetezi wa Haki za Kupata Taarifa na Baraza la Habari Tanazania (MCT), walipofika wizarani hapo kwa ajili ya kuwasilisha mapendekezo ya maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_34820" align="aligncenter" width="962"] Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi.Suzan Mlawi (katikati) akimsikiliza kwa makini Mjumbe wa Muungano wa Watetezi wa Haki ya kupata Taarifa (CORI), Dkt. Samwilu Mwafisi (kulia) wakati wa kikao baina yake na wajumbe wa muunganiko huo na Baraza la Habari Tanazania (MCT), walipofika wizarani hapo kwa ajili ya kuwasilisha mapendekezo ya maboresho ya Sheria ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Nicholaus William, Mjumbe wa Bodi ya Baraza la Habari Tanazania (MCT), Wallace Maugo na Kiongozi wa MCT, James Marenga.[/caption] [caption id="attachment_34821" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi.Suzan Mlawi(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Muungano wa Watetezi wa Haki ya kupata Taarifa (CORI) pamoja na Baraza la Habari Tanzania (MCT) mara baada ya kumaliza kikao leo Jijini Dodoma. Waliokaa kutoka kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya MCT, Wallace Maugo, Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Nicholaus William, na Mshauri wa Mradi wa Ufuatiliaji wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari (MOM), Dkt. Samwilu Mwafisi. (Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi