Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Bungeni Leo Aprili 20, 2018
Apr 20, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_30707" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kuteuliwa, Abdallah Bulembembo, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 20, 2018, kutoka kushoto ni Mbunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa, wa kwanza kulia ni Mbunge wa Mtama, Nape Mnauye na wapili kulia ni Mbunge wa Sumbawanga mjini, Aeshi Hilaly. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption] [caption id="attachment_30708" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Munira Mustafa Khatib, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 20, 2018, kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Halima Bulembo.[/caption] [caption id="attachment_30709" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa China nchini Tanzania, Bi. Wang Ke, ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma Aprili 20, 2018.[/caption] [caption id="attachment_30711" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa China nchini Tanzania, Bi. Wang Ke, ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma Aprili 20, 2018.[/caption] [caption id="attachment_30712" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Eng. Ramo Makani, kwenye jengo la Utawala Bungeni mjini Dodoma Aprili 20, 2018.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi