Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio katika Picha: Ziara ya Waziri Mkuu Wilayani Mkinga
Mar 03, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_51375" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Veronica Msaki ambae amejifungua mtoto wa kike Doreene (pichani) katika Kituo cha Afya cha Maramba wilayani Mkinga. Mheshimiwa Majaliwa alitembela wodi ya wazazi katika kituo hicho, Machi 2, 2020.[/caption] [caption id="attachment_51377" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mganga wa Kituo cha Afya cha Maramba wilayani Mkinga, Dkt. Kidai Nyaleja wakati alipotembelea chumba cha upasuaji katika kituo hicho, Machi 2, 2020.[/caption] [caption id="attachment_51378" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Madaktari na Wauguzi wa Kituo cha Afya cha Maramba wilayani Mkinga baada ya kutembelea kituo hicho, Machi 2, 2020. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela.[/caption] [caption id="attachment_51381" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa CCM Maramba wilayani Mkinga, Machi 2, 2020.[/caption] [caption id="attachment_51376" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wananchi wa Maramba wilayani Mkinga wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa CCM Maramba akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Tanga, Machi 2, 2020.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi