Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Uzinduzi wa Mwongozo wa Tathmini ya Mazingira Kimkakati
May 18, 2018
Na Msemaji Mkuu

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na  Mazingira  Mhe. January   Makamba akihutubia  washiriki wa  hafla ya uzinduzi wa mwongozo wa tathmini ya Mazingira  Kimkakati Jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mwongozo wa tathmini ya Mazingira  Kimkakati Jijini Dodoma.

Kaimu  Mkurugenzi wa Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Esther Makwaia akiwasilisha maelezo kuhusu muongozo wa  tathmini ya Mazingira  Kimkakati Jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhandisi Joseph Malongo akiteta jambo na  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na  Mazingira  Mhe. January   Makamba wakati wa hafla ya uzinduzi wa mwongozo wa tathmini ya Mazingira  Kimkakati Jijini Dodoma.

Mwenyekiti   wa  Kamati  Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na  Mazingira Mhe. Sadiq Morad akizungumzia umuhimu wa  mwongozo wa  tathmini ya mazingira  kimkakati   Jijini Dodoma.

Kaimu  Mkurugenzi  Mkuu  wa  Baraza La Taifa la Mazingira  Dkt. Vedast   Makota  akizungumza wakati wa  uzinduzi wa  mwongozo wa  tathmini ya mazingira  kimkakati   Jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na  Mazingira  Mhe. January   Makamba  akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa hafla ya  mwongozo wa  tathmini ya Mazingira  Kimkakati Jijini Dodoma.

Mkurugenzi  Mkazi  wa WWF Dkt.  Amani Ngusaru akizungumza  wakati wa uzinduzi wa mwongozo wa  tathmini ya Mazingira  Kimkakati Jijini Dodoma.

( Picha zote na Frank Mvungi)

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi