Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Uwasilishwaji Mapendekezo Bajeti Kuu ya Serikali
Jun 13, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_44289" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akionyesha Mkoba unaowakilisha Bajeti Kuu ya Serikali alipowasili katika viwanja vya Bunge leo jijini Dodoma tayari kwa ajili ya kuwasilisha Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020. Serikali imewasilisha mapendekezo ya shilingi trilioni 33 kwa ajili ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2019/2020.[/caption] [caption id="attachment_44293" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akiwasilisha Hotuba ya Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 leo jijini Dodoma. Serikali imewasilisha mapendekezo ya shilingi trilioni 33 kwa ajili ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2019/2020.[/caption] [caption id="attachment_44296" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya viongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Dotto James (kulia) wakifuatiliana Hotuba ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akiwasilisha Hotuba ya Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 leo jijini Dodoma. Serikali imewasilisha mapendekezo ya shilingi trilioni 33 kwa ajili ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2019/2020.[/caption] [caption id="attachment_44300" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Kiongozi (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mizengo Pinda wakisoma vitabu vya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 wakati ikiwasilishwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango (hayupo pichani) leo Bungeni jijini Dodoma. Serikali imewasilisha mapendekezo ya shilingi trilioni 33 kwa ajili ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2019/2020.[/caption] [caption id="attachment_44302" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akipitia kitabu cha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 wakatiikiwasilishwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango leo Bungeni jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo Omary Mgumba na Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso. Serikali imewasilisha mapendekezo ya shilingi trilioni 33 kwa ajili ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2019/2020.[/caption] [caption id="attachment_44305" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wa Wizara mbalimbali wakifuatiliana Hotuba ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akiwasilisha Hotuba ya Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_44307" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akimpongeza Waziri wa Fedha na Mipango Dktt. Phillip Mpango (kulia) mara baada ya kuwasilisha Hotuba yake ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 leo Bungeni jijini Dodoma.Anayeshuhudia ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji. Serikali imewasilisha mapendekezo ya shilingi trilioni 33 kwa ajili ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2019/2020. (Picha na: Frank Shija)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi