Matukio katika Picha: Uapisho wa Rais mteule na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Nov 03, 2025
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. George Mcheche Masaju kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa Gwaride Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Novemba, 2025.
Na
Ofisi ya Rais - Ikulu
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. George Masaju akimuapisha Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Gwaride, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 03 Novemba 2025.