Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha TRA Yatembelea Wafanyabiashara Kutoa Elimu Kwa Umma
Jun 18, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_53345" align="aligncenter" width="750"] Mfanyabiashara wa kuuza, kuchana na kuranda mbao wa eneo la Kisesa Jijini Mwanza akitoa maoni yake kwa Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Lazaro Mafie wakati wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi inayoendelea mkoani humo.[/caption] [caption id="attachment_53346" align="aligncenter" width="750"] Mfanyabiashara wa kuuza, kuchana na kuranda mbao wa eneo la Kisesa Jijini Mwanza akitoa maoni yake kwa Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Lazaro Mafie wakati wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi inayoendelea mkoani humo.[/caption] [caption id="attachment_53347" align="aligncenter" width="750"] Afisa Msimamizi wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Patrick Massawe akimuelimisha Mfanyabiashara wa eneo la Kisesa Jijini Mwanza anayejishughulisha na uuzaji wa mbao wakati wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi inayoendelea mkoani humo.[/caption] [caption id="attachment_53348" align="aligncenter" width="750"] : Afisa Msimamizi Mkuu wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)k Bi. Kissa Kejo akisikiliza maoni ya Mfanyabiashara wa eneo la Uhuru Jijini Mwanza wakati wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi inayoendelea mkoani humo.[/caption] [caption id="attachment_53349" align="aligncenter" width="750"] Afisa Msimamizi wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Lazaro Mafie akimuelimisha Mfanyabiashara wa eneo la Kisesa Jijini Mwanza kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu kodi wakati wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi inayoendelea mkoani humo.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi