Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Semina Kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini
Sep 09, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_35030" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani (aliyesimama), akizungumza wakati wa semina iliyoandaliwa na Wizara kwa Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuhusu masuala ya umeme, mafuta na gesi, jana Septemba 8, 2018 jijini Dodoma. Wengine pichani (Meza Kuu) kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara, Dkt. Hamisi Mwinyimvua, Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu, Mwenyekiti wa Kamati Dustan Kitandula na Katibu wa Kamati Felister Mgonja.[/caption] [caption id="attachment_35031" align="alignnone" width="750"] Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Dustan Kitandula (wa pili-kushoto), akifungua semina iliyoandaliwa na Wizara ya Nishati kwa wabunge wa Kamati hiyo kuhusu masuala ya umeme, mafuta na gesi, jana Septemba 8, 2018 jijini Dodoma, Wengine kutoka kushoto ni Katibu wa Kamati Felista Mgonja, Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu na Katibu Mkuu wa Wizara Dkt. Hamisi Mwinyimvua.[/caption] [caption id="attachment_35032" align="alignnone" width="750"] Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Dustan Kitandula, Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu na Katibu Mkuu wa Wizara Dkt. Hamisi Mwinyimvua, wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa katika semina iliyoandaliwa na Wizara ya Nishati kwa wabunge wa Kamati hiyo kuhusu masuala ya umeme, mafuta na gesi, jana Septemba 8, 2018 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_35033" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Dkt. Hamisi Mwinyimvua (aliyesimama) akizungumza, wakati wa semina iliyoandaliwa na Wizara kwa Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuhusu masuala ya umeme, mafuta na gesi, jana Septemba 8, 2018 jijini Dodoma. Wengine pichani kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu, Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, Mwenyekiti wa Kamati Dustan Kitandula na Katibu wa Kamati Felister Mgonja[/caption] [caption id="attachment_35034" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi Raphael Nombo akijisajili kabla ya kuanza kwa semina iliyoandaliwa na Wizara ya Nishati kwa Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuhusu masuala ya umeme, mafuta na gesi, jana Septemba 8, 2018 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_35035" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya wabunge, viongozi na maafisa wa Serikali, wakiwa katika semina iliyoandaliwa na Wizara ya Nishati kwa Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuhusu masuala ya umeme, mafuta na gesi, jana Septemba 8, 2018 jijini Dodoma.[/caption]

 (Picha zote na Veronica Simba- Wizara ya Nishati)

   

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi