Matukio katika Picha: Rais Samia Azungumza na Wawekezaji, Wafanyabiashara wa Tanzania Akiwa Njiani Kuelekea New Delhi
Oct 08, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wawekezaji na Wafanyabiashara mbalimbali wa Tanzania wakati akiwa njiani kuelekea New Delhi nchini India kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa tarehe 08 Oktoba, 2023.
Na
Ikulu