Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha: Rais Dkt.Shein Awaapisha Viongozi Mbalimbali Aliowateuwa Hivi Karibuni
Jun 24, 2020
Na Msemaji Mkuu

  [caption id="attachment_53505" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akimuapisha Dkt. Juma Malik Akil kuwa Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar[/caption] [caption id="attachment_53504" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mkuu mpya wa Wilaya ya Wete Pemba Kamanda Mohamed Mussa Seif (Mkobani) katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar .[/caption] [caption id="attachment_53503" align="aligncenter" width="750"] Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambao ni  Kamanda Mohamed Mussa Seif ambae ni Mkuu mpya wa Wilaya ya Wete Pemba na Dkt. Juma Malik Akil, Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar kabla ya kuapishwa leo[/caption] [caption id="attachment_53502" align="aligncenter" width="750"] Kutoka kushoto ni Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Mohamed ramia Abdiwaa ni miongoni mwa viongozi waliohudhuria katika hafla ya kiapo kwa viongozi walioteuliwa Ikulu Mjini Zanzibar leo[/caption] [caption id="attachment_53501" align="aligncenter" width="750"] Viongozi mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya kuwapishwa viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi