Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha PM Bungeni Leo
May 24, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_43401" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dodoma kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 24, 2019. Wanachuo hao walikwenda Bungeni kujifunza.[/caption] [caption id="attachment_43402" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Geita Gold Mine kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 24, 2019.[/caption] [caption id="attachment_43403" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanakwaya wa Kanisa la Wasabato la Mongolandege katika Jimbo la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 24, 2019. Wanakwaya hao walikwenda Bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wao, Mwita Waitara ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI.[/caption] [caption id="attachment_43404" align="aligncenter" width="750"]
PMO 9232 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanakwaya wa Kanisa la Wasabato la Mongolandege katika Jimbo la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 24, 2019. Wanakwaya hao walikwenda Bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wao, Mwita Waitara (kulia) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI.[/caption] [caption id="attachment_43405" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanakwaya wa Kanisa la Wasabato la Mongolandege katika Jimbo la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 24, 2019. Kulia kwake ni Mbunge wa Ukonga na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mwita Waitara. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi