Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha: Mkutano wa Waandisi wa Habari TCAA na TAA Miaka Minne ya Rais Magufuli.
Nov 11, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_48733" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Anga (TCAA), Hamza Johari, akifafanua jambo kwa Waandsishi wa Habari (Hawapo pichani), kuhusu Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano kwa miaka minne madarakani ikiwemo ununuzi wa Rada 4 za kuongozea ndege, Mkutano huo na Waandishi wa Habari ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_48734" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Anga (TCAA), Hamza Johari, akifafanua jambo kwa Waandsishi wa Habari, kuhusu Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano kwa miaka minne madarakani ikiwemo ununuzi wa Rada 4 za kuongozea ndege na kuimarisha Chuo cha Wataalamu wa Kuongoza ndege kilichopo JNIA, Mkutano huo na Waandishi wa Habari ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_48735" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Uhandisi na Huduma za Ufundi kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mbila Mdemu, Akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano, ikiwemo ukarabati na ujenzi wa Viwanja vya ndege, Mkutano huo na Waandishi wa Habari ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_48736" align="aligncenter" width="750"] Meneja Mipango na Takwimu kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Asteria Mushi akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) kuhusu mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano, ikiwemo ukarabati na ujenzi wa Viwanja vya ndege, Mkutano huo na Waandishi wa Habari ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_48737" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Mwanasheria kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Pamela Mugarula akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano, ikiwemo ukarabati na ujenzi wa Viwanja vya ndege, Mkutano huo na Waandishi wa Habari ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi