Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha: Maandalizi ya Sherehe za Muungano Yakamilika.
Apr 24, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_30862" align="aligncenter" width="877"] . Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kukagua hatua iliyofikiwa katika maandalizi ya sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zinazotarajiwa kufanyika tarehe 26 mwezi huu mjini Dodoma.

[/caption] [caption id="attachment_30863" align="aligncenter" width="827"] . Komando wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakionesha umahiri wao wakati wa maandalizi ya sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zinazotarajiwa kufanyika tarehe 26 mwezi huu mjini Dodoma.
[/caption] [caption id="attachment_30852" align="aligncenter" width="750"] Askari wa Jeshi la Magereza, wakionesha zoezi la kupambana na adui mbele Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati alipokagua maandalizi ya sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Aprili 24, 2018.[/caption] [caption id="attachment_30869" align="aligncenter" width="845"] Mwanamuziki mkongwe hapa nchini Bw. Cosmas Chidumule akitumbuiza kama sehemu ya maandalizi ya sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zinazotarajiwa kufanyika tarehe 26 mwezi huu mjini Dodoma katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.[/caption] [caption id="attachment_30871" align="aligncenter" width="900"] Wanafunzi wanaounda kikundi cha halaiki wakionesha umahiri wao katika kupambana na adui wakati wa maandalizi ya sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zinazotarajiwa kufanyika tarehe 26 mwezi huu mjini Dodoma.
[/caption] [caption id="attachment_30876" align="aligncenter" width="900"] Kikosi cha Komando wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakionesha umahiri wao katika kupambana na adui.
[/caption] [caption id="attachment_30870" align="aligncenter" width="900"] Wanafunzi wanaounda kikundi cha halaiki wakionesha uwezo wao katika kupambana na adui wakati wa maandalizi ya sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zinazotarajiwa kufanyika tarehe 26 mwezi huu mjini Dodoma. ( Picha zote na Idara ya Habari MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi