Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha: Maadhimisho Siku ya Wanawake Duniani
Mar 09, 2020
Na Msemaji Mkuu

    [caption id="attachment_51491" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipunga mkono ikiwa ni ishara ya kuyapokea maandamano wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri ya Bariadi mkoani simiyu leo Machi 08,2020.Kushoto ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.[/caption] [caption id="attachment_51492" align="aligncenter" width="750"] Wanawake mkoani Simiyu wakiwa kwenye maandamano ya kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri Bariadi mkoani Simiyu leo Machi 08,2020.[/caption] [caption id="attachment_51489" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia moja ya aina ya bidhaa ya kitenge alipotembelea Banda la Benki ya Posta Tanzania TPB Tawi la Simiyu kwenye maonesho ya kilele cha siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri Bariadi Mkoani simiyu leo March 08,2020.[/caption] [caption id="attachment_51485" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa Kwenye maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri Bariadi mkoani Simiyu leo Machi 08,2020.[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi