Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Maadhimisho Siku ya Chakula Duniani Mkoani Singida
Oct 12, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_48039" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskasi Muragili akipata maelezo namna ya kuhifadhi mazao kutoka kwa Afisa Masoko wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) alipotembelea banda la NFRA katika maonesho ya bidhaa za chakula na lishe yanayoendelea katika viwanja vya Bomberdier mjini Singida ikiwa ni maadhimisho ya siku ya chakula dunia ambayo kitaifa inafanyika mkoani Singida na ambapo chake itakuwa tarehe 16 Oktoba 2019[/caption] [caption id="attachment_48040" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskasi Muragili akisaini kitabu cha wageni katika banda la Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) alipotembelea banda hilo katika maonesho ya bidhaa za chakula na lishe yanayoendelea katika viwanja vya Bomberdier mjini Singida ikiwa ni maadhimisho ya siku ya chakula dunia ambayo kitaifa inafanyika mkoani Singida na ambapo chake itakuwa tarehe 16 Oktoba 2019[/caption] [caption id="attachment_48041" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskasi Muragili (katikati) akisikiliza maelezo kuhusu mradi wa kudhiti sumu kuvu alipotembelea banda la Taasisi inayoendesha Mradi huo jana mjini Singida katika maonesho ya bidhaa za chakula na lishe yanayoendelea katika viwanja vya Bomberdier mjini Singida ikiwa ni maadhimisho ya siku ya chakula dunia ambayo kitaifa inafanyika mkoani Singida na ambapo chake itakuwa tarehe 16 Oktoba 2019.[/caption] [caption id="attachment_48044" align="aligncenter" width="1000"] : Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskasi Muragili akisikiliza maelezo kuhusu lishe alipotembelea baadhi ya mabanda katika maonesho ya bidhaa za chakula na lishe yanayoendelea katika viwanja vya Bomberdier mjini Singida ikiwa ni maadhimisho ya siku ya chakula dunia ambayo kitaifa inafanyika mkoani Singida na ambapo chake itakuwa tarehe 16 Oktoba 2019. (Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO)S[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi