Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Kikao cha Kujadili Mwenendo wa Serikali Kuhamia Dodoma
Nov 02, 2019
Na Msemaji Mkuu

  [caption id="attachment_48553" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao chake na Menejimenti ya ofisi yake na Kikosi kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga kujadili mwenendo wa zoezi la hilo, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini Dodoma Oktoba 30, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48554" align="aligncenter" width="900"] Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri (Bunge na Waziri Mkuu) Bw.Tixon Nzunda akichangia hoja wakati wa kikao cha Menejimenti ya ofisi yake na Kikosi kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga kujadili mwenendo wa zoezi la kuhamia Dodoma, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_48555" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akichangia jamboi wakati wa kikao chake na Menejimenti ya ofisi yake na Kikosi kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga kujadili mwenendo wa zoezi la kuhamia Dodoma, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_48556" align="aligncenter" width="900"] Baadhi ya washiriki wa kikao kazi cha Menejimenti ya Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Kikosi kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga kujadili mwenendo wa zoezi la kuhamia Dodoma wakifuatilia mada zilizowasilishwa wakati wa kikao hicho, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_48558" align="aligncenter" width="900"] Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi akichangia hoja wakati wa kikao kazi cha Menejimenti ya Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Kikosi kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga kujadili mwenendo wa zoezi la kuhamia Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_48559" align="aligncenter" width="800"] Katibu wa Kikosi kazi cha Kuratibu zoezi la Serikali kuhamia Dodoma Bw. Mershach Bandawe akiwasilisha taarifa ya Saba ya zoezi la Kuhamia Dodoma na Ujenzi wa Mji wa Serikali Awamu ya Kwanza wakati wa kikao hicho.[/caption] [caption id="attachment_48560" align="aligncenter" width="800"] Katibu wa Kikosi kazi cha Kuratibu zoezi la Serikali kuhamia Dodoma Bw. Mershach Bandawe akiwasilisha taarifa ya Saba ya zoezi la Kuhamia Dodoma na Ujenzi wa Mji wa Serikali Awamu ya Kwanza wakati wa Kikao kazi cha Kujadili Mpango wa Serikali kuhamia Dodoma na Mwenendo wa zoezi hilo kilichoongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ((Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama.[/caption]

(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi