Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bungeni Leo Mei 23, 2019
May 23, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_43354" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali ya papo kwa papo leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43353" align="aligncenter" width="744"] Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mwita Waitara akisisitiza kuhusu mikakati ya Serikali kuimarisha huduma za Jamii katika Mamlaka za Serikali za Mitaa leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43355" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2019/2020.[/caption] [caption id="attachment_43356" align="aligncenter" width="837"] Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii (TTB) Mhe. Jaji Mstaafu Marko Mihayo (wakwanza kushoto) akiwa Bungeni leo Jijini Dodoma kabla ya kuwasilishwa kwa Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii.[/caption] [caption id="attachment_43357" align="aligncenter" width="685"] Spika wa Bunge La Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akisisitiza jambo mara baada ya kipindi cha maswali na majibu.[/caption] [caption id="attachment_43358" align="aligncenter" width="900"] Mbunge wa Babati Mjini Mhe. Pauline Gekulu akisisitiza jambo Bungeni wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo.[/caption] [caption id="attachment_43359" align="aligncenter" width="900"] Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Walemavu Mhe. Stella Ikupa akiwa kwenye picha ya pamoja na Timu ya Tembo Worriors waliofika Bungeni leo ikiwa ni sehemu ya uhamasishaji wananchi na wabunge kushiriki katika maandalizi na mashindano ya mpira wa miguu kwa wenye ulemavu kwa nchi za Afrika Mashariki yanayotarajiwa kufamnyika hapa nchini hivi karibuni.[/caption] [caption id="attachment_43360" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Elias Kuandikwa akijibu swali Bungeni leo.[/caption]

(Picha zote na Frank Mvungi)

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi