Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bungeni Leo Aprili 13, 2018
Apr 13, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_30405" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza Bungeni mapema leo wakati wa Kipindi cha mswali na majibu .

[/caption] [caption id="attachment_30406" align="aligncenter" width="900"] Naibu Waziri wa Wizara ya Mali Asili na Utalii Mhe. Japhet Hasunga akieleza hatua zinazochukuliwa na Serikali kwa wananchi pale wanapovamiwa na wanyama kutoka katika Hifadhi za Taifa na kusababisha uharibifu.[/caption] [caption id="attachment_30407" align="aligncenter" width="900"] Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu akisisitiza kuhusu mikakati ya Serikali kufikisha huduma ya umeme katika vijiji vyote hapa nchini mapema leo Bungeni mjini Dodoma wakati wa Kipindi cha maswali na majibu.
[/caption] [caption id="attachment_30408" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiteta jambo na mbunge wa Siha Dkt. Goodluck Mollel mapema leo Bungeni mjini Dodoma.
[/caption] [caption id="attachment_30409" align="aligncenter" width="900"] Sehemu ya wabunge na wageni waliofika Bungeni wakifuatilia Kikao cha Bunge wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo mjini Dodoma. (Picha zote na Frank Mvungi, MAELEZO Dodoma)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi