Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bungeni Leo
Apr 12, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_42125" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akijibu swali wakati wa Kikao cha Tisa cha Mkutano wa 15 wa Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42126" align="aligncenter" width="973"] Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mwita Waitara akifafanua jambo wakati wa kipindi cha maswali na majibu wakati wa Kikao cha Tisa cha Mkutano wa 15 wa Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42127" align="aligncenter" width="957"] Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akifafanua jambo wakati wa kipindi cha maswali na majibu wakati wa Kikao cha Tisa cha Mkutano wa 15 wa Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42128" align="aligncenter" width="1000"] Mbunge wa Jimbo la Busanda mkoani Geita, Rolencia Bukwimba akiuliza swali wakati wa kipindi cha maswali na majibu wakati wa Kikao cha Tisa cha Mkutano wa 15 wa Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42129" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akiteta jambo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi wakati wa Kikao cha Tisa cha Mkutano wa 15 wa Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42130" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya wageni wakifuatilia shughuli za Bunge wakati wa Kikao cha Tisa cha Mkutano wa 15 wa Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42131" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akimsikiliza Mtanzania aliyeshiriki kutunga wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bw. John Joseph Mugango(kushoto) alipomtembelea Bunge leo jijini Dodoma. Kulia ni Mtoto wa Mtunzi huyo Bi. Joanitha Mugango.[/caption] [caption id="attachment_42132" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akisalimiana na baadhi ya wahitimu wa Vyuo Vikuu kutoka Mafinga wilayani Mufindi ambao wamejiari wenyewe walipotembelea Bungeni leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42133" align="aligncenter" width="855"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Maudhui na baadhi ya watendaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) leo Bungeni jijini Dodoma. (Frank Shija – MAELEZO).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi