Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bungeni Leo
Apr 11, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_42105" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo pamoja na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejeimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mary Mwanjelwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mwita Waitara wakifuatilia michango ya wabunge wakati wa kuchangia Bajeti ya Wizara TAMISEMI ya Mwaka wa Fedha 2019/2020 leo Bungeni jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42106" align="aligncenter" width="750"] Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Salma Kikwete akichangia hoja wakati wa mjadala wa kuchangia Bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora leo Bungeni jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42107" align="aligncenter" width="750"] Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Mariam Kisiga akichangia hoja wakati wa mjadala wa kuchangia Bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora leo Bungeni jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42108" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu akiteta jambo na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza wakati wa kikao cha nane cha Mkutano wa 15 wa Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42109" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wanafunzi kutoka Chuo cha Uongozi wa Mahakama (IJA) kutoka Tanga wakifuatilia shughuli za Bunge wakati wa kikao cha nane cha Mkutano wa 15 wa Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42110" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akiteta jambo na Mkurugenzi wa Taasisi ya Arise Amka Afika ya jijini Arusha, Bi. Kuluthum Maabad alipomtembelea Bunge leo jijini Dodoma. Taasisi ya Arise Amka Afrika inajishughulisha na masuala ya utoaji elimu kuhusu harakati za ukombozi wa Bara la Afrika. (Picha na: Frank Shija - MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi