Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bungeni Leo
Apr 08, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_41921" align="aligncenter" width="955"] Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson akizungumza mara baada ya kipindi cha Maswali na Majibu kumalizika katika kikao cha Tano bunge la 15 leo tarehe 8 April 2019 Bungeni jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_41922" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu, Vijana, Kazi Ajira na Wenyeulemavu Jenista Mhagama akifafanua jambo wakati wa kikao cha Tano cha Bunge la 15 kabla ya wabunge kuendelea kuchangia hoja Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu leo tarehe 8 April 2019 Bungeni jijini Dodoma. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi.[/caption] [caption id="attachment_41923" align="aligncenter" width="942"] Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza Mhe. Andrew Chenge akijibu miongozo ya wabunge wakati wa kikao cha Tano cha Bunge la 15 kabla ya wabunge kuendelea kuchangia hoja Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mkutano wa 15 wa Bunge kikao cha tano leo tarehe 8 April 2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_41924" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano, Januari Makamba akifafanua jambo wakati wa kipindi cha Maswali na Majibu katika Mkutano wa 15 wa Bunge kikao cha tano leo tarehe 8 April 2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_41925" align="aligncenter" width="806"] Naibu Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula akifafanua jambo wakati wa kipindi cha Maswali na Majibu katika Mkutano wa 15 wa Bunge kikao cha tan oleo tarehe 8 April 2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_41926" align="aligncenter" width="1000"] Mbunge wa Babati Mjini Mhe. Paulina Gekuli akichangia hoja wakati wa majadiliano kuchangia hoja Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu katika Mkutano wa 15 wa Bunge kikao cha tano leo tarehe 8 April 2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_41927" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Angellah Kairuki wakati wa Mkutano wa 15 wa Bunge kikao cha tan oleo tarehe 8 April 2019 jijini Dodoma. Katikati ni Waziri wa Madini, Doto Biteko.[/caption] [caption id="attachment_41928" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo wakifuatilia shughuli za Bunge wakati wa Mkutano wa 15 wa Bunge kikao cha tan oleo tarehe 8 April 2019 jijini Dodoma. ( Picha na: Frank Shija – MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi